
OLAMS HESLB ni mfumo unaotumika katika uombaji na michakato yote ya kidigitali inayohusu bodi ya mikopo ya elimu ya juu Tanzania.
Huduma Zinazopatikana Kwenye OLAMS
Mfumo wa OLAMS unatoa huduma mbalimbali ikiwemo:
- Kuomba mkopo wa elimu ya juu.
- Kuomba Samia Scholarship.
- Kufuatilia hali ya maombi ya mkopo.
- Kurejesha nenosiri lililosahaulika.
- Kusasisha taarifa za mwombaji.
- Kupakua na kuchapisha nyaraka za maombi.
- Tembelea mfumo rasmi wa OLAMS HESLB