MATOKEO YA MTIHANI WA UALIMU 2026 DSEE, GATCE, DPEE, DPEE, DPPEE & DSPEE

wazaelimu

Administrator
Staff member
Jun 15, 2026
314
0
16
Jinsi ya kuangalia Matokeo ya Mitihani ya Ualimu | Matokeo Form Six ACSEE NECTA 2026/2027 yametoka rasmi.


Jinsi ya kuangalia Matokeo ya Mitihani ya Ualimu

Jinsi unavyoweza kuangalia matokeo Mitihani ya Ualimu mtandaoni kupitia tovuti rasmi ya NECTA

Hatua ya 1: tembelea www.necta.go.tz

Hatua ya 2: Bonyeza "Matokeo" kutoka kwenye menyu kuu.

Hatua ya 3: Dirisha la "Matokeo" litaonyesha matokeo yote yanayopatikana.

Hatua ya 6: Chagua "Aina ya Mtihani" GATCE.

Hatua ya 5: Chagua "Mwaka" wako wa kumaliza shule mfano: 2026

Hatua ya 6. Sasa angalia matokeo yako NECTA





 
Last edited: