Matokeo ya Kidato cha Sita ACSEE 2026 Shule Zote

wazaelimu

Administrator
Staff member
Jun 15, 2026
314
0
16
Jinsi ya kuangalia Matokeo ya Kidato cha Sita | Matokeo Form Six ACSEE NECTA 2026/2027.


Jinsi ya kuangalia Matokeo ya Kidato cha Sita

Jinsi wanafunzi wanavyoweza kuangalia matokeo yao (ACSEE) mtandaoni kupitia tovuti rasmi ya NECTA

Hatua ya 1: tembelea www.necta.go.tz

Hatua ya 2: Bonyeza "Matokeo" kutoka kwenye menyu kuu.

Hatua ya 3: Dirisha la "Matokeo" litaonyesha matokeo yote yanayopatikana.

Hatua ya 6: Chagua "Aina ya Mtihani" ACSEE.

Hatua ya 5: Chagua "Mwaka" wako wa kumaliza shule mfano: 2026

Hatua ya 6. Sasa angalia matokeo ya Form Six NECTA ACSEE

 
Last edited: