Link za Magroup ya WhatsApp 2026/2027 Kada Zote

wazaelimu

Administrator
Staff member
Jun 15, 2026
633
0
16
Unatamani kujiunga na magroup au channel za WhatsApp kupata updates mbalimbali?
HAPA KUJIUNGA NASI WHATSAPP

Kuanzisha Group​


  1. Gusa
    Soga Mpya (kiputo cha matamshi kwenye mraba)

    > Kikundi kipya.
  2. Una hiari ya:
    • Tafuta au chagua anwani za kuongeza kwenye kikundi. Ikiwa unayewasiliana naye hana WhatsApp, atatumiwa mwaliko wa SMS.
    • Ongeza washiriki baadaye.
  3. Gusa
    Kishale cha Soga Mpya (kishale cha kulia kwenye mraba)

    .
    • Tunga jina la kikundi. Gusa
      Emoji (uso unaotabasamu)

      ili uweke emoji. Jina halipaswi kuzidi herufi 100.
    • Gusa
      Alama ya Kuongeza ya Kamera (kamera na alama ya kujumlisha)

      ili uweke aikoni ya kikundi. Gusa Kamera, Matunzio, Emoji na vibandiko au Tafuta kwenye wavuti ili uweke picha. Unaweza pia kuwa na chaguo la kutayarisha na kutumia picha ya AI.
    • Gusa Ujumbe unaotoweka ili uwashe ujumbe unaotoweka baada ya kipindi ulichochagua. Chagua Saa 24, Siku 7 au Siku 90.
    • Gusa Ruhusa za kikundi ili kuhariri ruhusa za washiriki na wasimamizi.
  4. Gusa
    Alama ya Kuteua Soga Mpya (alama ya tiki kwenye mraba)

    .

Kumbuka: Ikiwa hutaweka jina la kikundi, jina litakuwa orodha ya wanakikundi.