Unatamani kujiunga na magroup au channel za WhatsApp kupata updates mbalimbali?
Kumbuka: Ikiwa hutaweka jina la kikundi, jina litakuwa orodha ya wanakikundi.
HAPA KUJIUNGA NASI WHATSAPP
Kuanzisha Group
- Gusa
> Kikundi kipya. - Una hiari ya:
- Tafuta au chagua anwani za kuongeza kwenye kikundi. Ikiwa unayewasiliana naye hana WhatsApp, atatumiwa mwaliko wa SMS.
- Ongeza washiriki baadaye.
- Gusa
.- Tunga jina la kikundi. Gusa
ili uweke emoji. Jina halipaswi kuzidi herufi 100. - Gusa
ili uweke aikoni ya kikundi. Gusa Kamera, Matunzio, Emoji na vibandiko au Tafuta kwenye wavuti ili uweke picha. Unaweza pia kuwa na chaguo la kutayarisha na kutumia picha ya AI. - Gusa Ujumbe unaotoweka ili uwashe ujumbe unaotoweka baada ya kipindi ulichochagua. Chagua Saa 24, Siku 7 au Siku 90.
- Gusa Ruhusa za kikundi ili kuhariri ruhusa za washiriki na wasimamizi.
- Tunga jina la kikundi. Gusa
- Gusa
.
Kumbuka: Ikiwa hutaweka jina la kikundi, jina litakuwa orodha ya wanakikundi.