WALIOCHAGULIWA NA KUPANGIWA KUFUNDISHA SOMO LA ELIMU YA BIASHARA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI 2026 - TAMISEMI

wazaelimu

Administrator
Staff member
Jun 15, 2026
303
0
16

Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI inatangaza Majina ya Walimu wa kujitoleakufundisha Somo la Elimu ya Biashara katika shule za sekondari waliokidhi vigezo,kuchaguliwa na kupangiwa shule za kufundisha kwa Mkataba. Walimu wotewaliopangiwa shule za kufundisha wanatakiwa kufika katika Halmashauri husikakukamilisha taratibu za kuanza kazi kuanzia tarehe 24/07/2026 hadi tarehe06/08/2026. Baada ya muda huo kupita, nafasi iliyo wazi itajazwa na mhitajimwingine.Majina ya Walimu wa kujitolea waliochaguliwa na kupangiwa shule za Sekondari zakufundisha somo la Elimu ya Biashara yanapatikana kupitia kiunganishi,ajira.tamisemi.go.tz na pia kupitia tovuti www.tamisemi.go.tz.

ORODHA YA WALIMU WA MKATABA WALIOCHAGULIWA NA KUPANGIWA KUFUNDISHA SOMO LA ELIMU YA BIASHARA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI