Jinsi ya Kupata Namba ya NIDA Kwa Urahisi

wazaelimu

Administrator
Staff member
Jun 15, 2026
55
0
6
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa inatimiza majukumu yake kwa mujibu wa Hati ya Uanzishwaji wa Mamlaka ya mwaka 2008 (Establishment Instrument, 2008 - GN 122/2008). Majukumu ya msingi ya Mamlaka yaliyoainishwa katika Sheria ya kuanzishwa kwake ni kama ifuatavyo:

  • Kusajili na kutambua watu wanaoishi nchini
  • Kutunza daftari la Taifa la Usajili na Utambuzi wa watu na kushirikisha taarifa hizo na wadau wengine.
  • Kutoa Vitambulisho vya Taifa kwa raia, wageni waakazi na wakimbizi wenye umri wa miaka 18 na kuendelea
  • Kujenga utawala bora wa Mamlaka.
  • Kujenga Mfumo Mkuu wa Taifa wa Utambuzi wa Watu na kushirikisha taarifa za Utambuzi kwa taasisi za serikali na sekta binafsi.

Huduma za usajili na vitambulisho hutolewa kupitia Ofisi za NIDA zilizopo katika kila Wilaya.

Mamlaka-ya-Vitambulisho-vya-Taifa-NIDA-inawakumbusha-wateja-wake-kuzingatia-matumizi-ya-njia-...webp