Fahamu Jinsi Ya Kupata Cheti Mbadala NECTA CSEE/ACSEE Umepoteza.
Hakikisha kwamba unavyo viambatisho vifuatavyo :-
lwapo cheti kimepotea, tangazo la gazeti la upotevu wa cheti (taarifa muhimu kwenye tangazo hilo ni Jina la mtahiniwa, Namba ya mtihani, aina ya mtihani, mwaka wa mtihani, jina la...